Ni nyumba ina vyumba vitatu kimojawapo master,sebule na jiko... plus public toilet Nyumba zipo mbili ndani ya fence moja Zote kwa pamoja zinauzwa ml 320
Nyumba iko hatua ya renta eneo la MET, Mafinga
Ni nyumba ya zamani ila ina huduma za kisasa zaidi Imejengwa kwa mtililiko ufuatao ; ina vyumba 3 Komojawapo master Sebure kubwa Daining kubwa jiko kubwa na stoo kubwa pia ina public toilet Maji yapo ...
Nyumba inauzwa ipo manispaa ya iringa donibosko. nyumba ipo barabarani kabisa ina umeme na maji, ina vyumba vitano master moja, inafremu za biashara, na inawapangaji. karibu uchukue nyumba hii ...
Uwanja wenye pagale la vyumba viwili unauzwa. Uko mtaa wa zizi kata ya Isakalilo manispaa ya Iringa mjini. Uwanja upoeneo la barabarani na unaukubwa wa sqm 2548 ambao unaweza kujenga nyumba nzuri za ...
Nyumba hii imesha uzwa.
Nyumba inauzwa ipo kihesa kilolo iringa Manispaa ina vyumba vitatu vya kulala Moja master dining Sebule jiko pamoja na public toilet and bathroom pia kuna nafas ya kujenga nyumba nyingne Moja
Nyumba ipo pembezoni mwa Barabara kubwa ya kwenda Iringa. Nyumba inaweza ikatumika kama Lodge, Ofisi ama Mgahawa kutokana ukaribu wa barabara. Mbele na nyuma kuna nafasi kubwa imebakia.
Nyumba ipo pembezoni mwa Barabara Kuu ya kwenda Iringa. Nyumba inaweza ikatumikakama Lodge, Ofisi ama Mgahawa kutokana na ukaribu barabarani. Nafasi ni kubwa iliyobakia mbele na nyuma. Kwa Mawasiliano
Nyumba ipo pembezoni mwa Barabara Kuu ya kwenda Iringa. Nyumba inaweza ikatumikakama Lodge, Ofisi ama Mgahawa kutokana na ukaribu barabarani. Nafasi ni kubwa iliyobakia mbele na nyuma. Kwa Mawasiliano
Location: Iringa Price: 1,200,000,000 TSh Description SCHOOL FROM GRADE ONE TO CLASS SEVEN IN 5 ACRES PLOT AND SCHOOL BUSES LOCATED AT MAKAMBAKO NJOMBE IRINGA Additional Details Transaction type Sell ...
Location: Iringa Price: 1,200,000,000 TSh Description SCHOOL FROM GRADE ONE TO CLASS SEVEN IN 5 ACRES PLOT AND SCHOOL BUSES LOCATED AT MAKAMBAKO NJOMBE IRINGA Additional Details Transaction type Sell ...
Nyumba inauzwa IPO wilolesi iringa mjini ina vyumba vitano vya kulala moja master Sebule dining jiko store na public bathroom and toilet pia ina uwanja mkubwa wenye fence document zote zipo wahi ...
Nyumba inauzwa ganglonga ina vyumba vitano kulala Sebule dining jiko store pia kuna mabanda 8 ya kufugia kuku fence hekar moja pamoja na two parking area
Nyumba vyumba vinne vya kulala pamoja na pagale lina vyumba vitano vya kulala dining jiko Sebule pamoja na public toilet ipo road umeme na maji vipo wahi mapema
Nyumba vyumba vinne vya kulala pamoja na pagale lina vyumba vitano vya kulala dining jiko Sebule pamoja na public toilet
A Beautiful House with beautiful neighborhoods on a 2453 sqms area, Nice hill top view, Located at Mkimbizi Area In Iringa Town. I am the owner, Kindly Contact through my Whatsapp ...
2 house, big and small in one area along main road mkwawa good for business
Vyumba 3 kimoja master,umeme na maji yapo... uwanja mkubwa wakujenga pia upo
Nyumba inauzwa iringa Bwawani(Don Bosko) -Inanvyumba vinne viwili master , jiko Stoo. -Ina eneo square mita . -Iimepimwa (malipo ya awali yamefanyika hati bado) -umeme na maji vyote vipo -umbali ya ...