Nyumba inapangishwa chumba seble choo. na jiko tairiz jipsam nyumba ni mpya bado vioo tu kodi laki mbili miezi sita haiko ndani ya fensi ipo kimara korogwe
Kodi ni 250,000 kwa mwezi malipo ni miezi sita . inakua wazi tar 30/01/2023 . ni apartment nzuri sana ya kupanga ipo kimara korogwe . ina vyumba viwili vya
Chumba master sebule na jiko korogwe umbali dk 8 kwa miguu kutoka lami
Ni apartment nzuri sana ya kupanga ipo kimara korogwe inakua wazi tar 05/02/2023 kuja kuiona na kulipia ni ruksa ina vyumba viwili vya kulala kimoja master
Hizi nyumba zipo tatu kwenye fensi moja kati ya izo moja ipo wazi *vyumba 3 vya kulala *chumba kimoja master *sebule kubwa sana *jiko kubwa lenye makabati
Nyumba bado ina upya wake nyumba inauzwa ipo tanga korogwe (mji mpya) Bei milion 45 ina vyumba v3... viwili ni masta dining, siting stoo jiko,tailiz, jipsam
Apartment nzuri ya kisasa inapangishwa apartment hii ina sifa zifuatazo #vyumba 2 vya kulala #sebule kubwa #hakuna master bedroom #ina public toilet nzuri
New stand alone (nyumba inajitegemea kwenye fensi yake) sebule kubwa sana vyumba 2 vya kulala chumba kimoja master jiko kubwa lenye makabati publick toilet
Kimara korogwe kilungule house foe sale
Apartment nzuri ya kisasa inapangishwa apartment hii ina sifa zifuatazo #vyumba 2 vya kulala kimojawapo ni master #sebule kubwa #jiko kubwa #public toilet
Apartment nzuri ya kibachela inapangishwa . ndugu mteja beba pesa kabisa utajutia hiki chumba apartment hii ina sifa zifuatazo #chumba master bedroom tuu
Apartment zina pangishwa zipo kimara korogwe dk15 kwa miguu kutoka lami na barabara ya lami safi chumba master seble kubwa sana jiko kubwa la kisasa open
Chumba,sebule choo ndani stand alone fence ya waya , , , , , umeme maji inajitegemea location kimara korogwe umbali km.1.5 kutoka kituo cha mwendo kass usafiri
Chumba kimoja master sebule kubwa jiko luku yake maji yanaflow ndani fensi parking kubwa ziko kimara korogwe km 1 toka morogoro road bei ni
Kanyumba kazuri kanajitegemea kwenye fensi yake #sebule kubwa #vyumba 2 vya kulala #chumba kimoja master #kuna kibalaza hakuna jiko #publick toilet " full
Ni apartment nzuri sana ya kupanga ipo kimara korogwe . . sifa za nyumba # ina vyumba viwili vya kulala kimoja master sebule kubwa jiko zuri kubwa lenye
Hizi apartment zinapangishwa moja inakuwa wazi tarehe 30/12/2022 kuona malipo ruksa ya juu ndio iko wazi chumba master kubwa sebule kubwa jiko public toilet ya
Apartment Nzuri ya Kupanga #Location: Kimara Korogwe Distance: Kutembea Kwa Mguu Dakika 12 tu Kutoka Main Road Kituoni. #Sifa Zake = • Sebule kubwa •
Nyumba kubwa ya kisasa ya familia inayojitegemea yenyewe kwenye fensi inapangishwa nyumba hii ina sifa zifuatazo #vyumba 4 vya kulala kimojawapo ni master
New new apartment zipo tatu tu kwenye compaund moja ziko nyumba mbili bei tofauti soma maelezo kwa umakini ndugu mteja hii nyumba namfaulisha mteja wangu