Inatembea vizuri ila tenki kinavujisha lakwenda kwa fundi pia bampa la kubadili la nyuma. injini iko safi ni ya kichina 125 cc gsm nipigie pikipiki laki 5.5
Nauza pikipiki hii bado nzima sana nipo mwanza aina ni gsm 150 haina tatizo nmenunua gari ndiyo maana nauza hii pg bei laki nane tuu